Vifaa - CPE 168W

Jipatie Router yako kwa bei nafuu kabisa yenye uwezo mkubwa wa kukufanya upate mtandao wa intaneti kwa njia ya kawaida au ya Wi-Fi, Haihitaji kufanya chochote bali ni kuchomeka na kuanza kazi bila kuunda mfumo wowote. Ina uwezo wa kutumika na watu hadi 6 kuunganisha kwenye komputa mpakato, deskitopu, simu and tablets, kuna vifurushi vya intaneti vya uhakika kwa kila hitaji na bajati yako, spidi kubwa ya intaneti kwa ajili ya kufanya chochote mtandaoni kama vile kupakua na kupakia vitu kwenye mtandao wa intaneti na kuangalia video mtandaoni, changamka sasa ujipatie ya kwako.Taarifa za Bidhaa
Jina Thamani
Modal CPE 168W
Antenna Data external antenna
Dimension 175mm x 130mm x 70mm
Weight 300g
Connection Pad, phone, computer
Power Input 270V AC [100V AC to 240V AC]
Output 5V DC, 2.0A
Wireless Security WEP/WAP/WAP2
Three WAN Models Bridge/DHCP/Static
Speed 10Mbps [bidirectional]


Bei ya Dukani ya CPE 168W
Jina la Kifaa Bei(Tsh) Ofa
CPE 168W 60,000/- 10GB
VAT Imejumuishwa!

Bando

Muda Kifurushi Bei(Tsh)
Wiki
3GB 4,900/-
Bila Kikomo 17,500/-
Mwezi
3GB 8,400/-
10GB 15,400/-
30GB 35,000/-
VAT Imejumuishwa!

Wasiliana NasiKaribu CooTel Tanzania. Ni Furaha Yetu kuwa na wewe karibu.

© 2018 CooTel Tanzania | Haki Zote Zimehifadhiwa.